ZIJUE FAIDA,MADHARA YA KITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA BINADAMU
MAGONJWA YANAYOTIBIKA KUPITIA KITUNGUU SAUMU
- Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
- Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I
- Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
- Huzuia kuhara damu (Dysentery)
- Huondoa Gesi tumboni
- Hutibu msokoto wa tumbo
- Hutibu Typhoid
- Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi
- Hutibu mafua na malaria
- Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB)
- Hutibu kipindupindu
- Hutibu upele
- Huvunjavunja mawe katika figo
- Hutibu mba kichwani
- Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu.
- Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu
- Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume)
- Hutibu maumivu ya kichwa
- Hutibu kizunguzungu
- Hutibu shinikizo la juu la damu
- Huzuia saratani/kansa
- Hutibu maumivu ya jongo/gout
- Huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Huongeza hamu ya kula
- Huzuia damu kuganda
- Husaidia kutibu kisukari
- Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi
- Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi, kijaribu na ulete majibu
FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA
BINADAMU
- Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.
- Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na kupunguza madhara ya kisukari.
- Iwapo vitapondwa pondwa vizuri, vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo Allicin ambayo ni dawa dhidi ya bateria, na phytoncide ambayo huua fangasi wa aina mbalimbali.
- Harufu mbaya ya kitunguuu swaumu hutokana na gesi aina ya hydrogen sulfide ambayo hutolewa baada ya kuvila.
MADHARA
YA KITUNGUU SWAUMU SWAUMU KATIKA MWILI
WA BINADAMU
- Harufu mbaya mdomoni ambayo hutokana na kemikali ya AMS (allyl methyl sulfide). Harufu mbaya hii, hata hivyo, yaweza kupunguzwa kwa kunywa maziwa, kunywa maji mengi au kutafuna karafuu. Na nimeshuhudia nikinywa kwenye mtindi hii harufu ni kama haipo kabisa na hata ukijamba haikutokei ile harufu mbaya sana kama ukinywa vitunguu swaumu katika maji
- Kwa baadhi ya watumiaji, vinaweza kuwaletea mzio au mcharuko mwili (allergies au inflammatory reactions)
- Kichefuchefu, Kutapika na kuharisha. Ikikutokea kuharisha siku mbili tatu furahi kwani ni njia mojawapo ya mwili kujisafisha
- Huweza kusababisha hatari ya kuvuja damu, kwa sababu huzuia kazi ya seli sahani (platelets) zenye kusaidia kuganda kwa damu kushindwa kufanya kazi yake vizuri, na hususani kwa mama wajawazito, baada ya upasuaji au mara baada ya kujifungua.
- Huingiliana katika utendaji kazi wake na dawa kadhaa kama vile warfarin, antiplatelets, saquinavir, dawa za shinikizo la damu kwa ujumla hasa calcium channel blockers, na antibiotiki za jamii ya quinolone kama vile ciproflaxacillin.
- Aidha, vinaelezwa pia kuwa na madhara kwa wanyama jamii ya paka na mbwa.
Kumbuka:
kitunguu swaumu kinaweza kuwa na
faida nyingi zaidi ya hizi lakini bado nakushauri utumie kiasi kidogo (punje 6
tu) kila siku kwa kipindi kirefu wiki 2 au 3 hata mwezi ili uone faida zake
zaidi. Ikikutokea tangu umeanza kutumia kitunguu swaumu kichwa kinauma zaidi
unaweza kupumzika siku mbili hivi na baadaye unaendelea hivyo hivyo.
Asante kwa ushauri wenu na pia asante kwa ufafanuzi jinzi inavyo fanya kazi...
ReplyDeleteJe mama anae nyonyesha anaweza tumia
DeleteKama unatumia uzazi wa mpango kuna shida endapo utatumia kitunguu swaumu
DeleteKivip maana nilitaka kuanza kutumia kitunguu swaumu ila ndio natumia uzazi was mpango
DeleteKm unatumia uzaz wampango unawez tumia
DeleteMm nmetumia nikaanza kuharsha na homa Kali ya mafua
ReplyDeleteEndlea usiache zimekukubali saana.
DeleteMara nyingi vinasababisha kuharisha,ila ukizoea itakata
DeleteMm kilinisaidia kurudisha nguvu zakiume ninajua jinsi ya kukitumia kutengeneza dawa ya nguvu za kiume simu 0710585898
DeleteTAPELI WEWE HAKUNA DAWA YA NGUVU ZA KIUME DUNIA NZIMA ZAIDI YA VYAKULA ASILIA NA KUBADILI MTINDO WA MAISHA.....DOKTA AMSHAELEKEZA HAPO NYIE NDIO MATAPELI TUNAOWATAFUTA.
DeleteTapeli wewe
Delete😂😂😂
DeleteShukrani naendelea vizur sana
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDeleteKabisa nashkuru
ReplyDeleteAsante sana ubarikiwe
ReplyDeleteKwakweli kimenisaidia sana kwakweli kunitibiya UTI .ila toka nianze kukitumiya .simsikiya kabisa mtoto akicheza tumboni soo sijuwi kama nivibaya kwa mjamzito kutumiya kutumiya kitungu thaumu ?
ReplyDeleteNaomba nielekeze ndugu natumiaje kwa ajili ya UTI.0657749999
DeleteKwa wajawazito haitakiw ukiwa na mimba chin ya miez mi 4... Hivyo wah hospital ukapimwe mapigo ya moyo ya mtoto kama yapo au la
DeleteOk
DeleteThanks
ReplyDeleteMimi natafuna kila siku pamoja na tangawizi punje 4_6 kipande kimoja cha tangawizi,je kuna madhara nikiendelea hivi kila siku?
ReplyDeletehapana hamna shida yoyote
DeleteJe, vitunguu saumu vinaweza kabisa kuondoa tatizo la uume kutosimama , unakuta mtu huna hisia au unakuta uume umesimama na unapotaka kuanza kufanya unashuka, je hata tatizo kama hili linaweza kuisha kwa vitunguu saumu na inaweza chukua mda Gani? Please naomba msaada wa maelezo yako!
ReplyDeletePole sana Ila kwa Utumiaji wangu nakushauri tafuna punje6 kwa siku huku ukitumia juice ya Limao na Asali kila siku uamkapo ndiyo iwe kifungua kinywa chako. Utaona mafanikio ndani ya miezi3. Swala la kutokuwa na Hisia ni swala la Kisaikolojia huenda likawa siyo tatizo sana na pia unaweza ukawa wewe ndiyo Selective katika wanawake kuna kitu hupendi kukiona kwa mwanamke so ukikiona hisia zinaisha. Jichunguze. Ukishindwa nichek Dm Ntakusaidia Bure kabisa Nina uzoefu wa Matatizo ya Wanaume.
DeleteHacha namba
DeleteMimi ndg Sylvester napenda kujua je kitunguu swaum naweza kumeza au nilazima kutafuna napenda kujua hilo
DeleteAisee nimekula kitunguu swaumu siku mbili naona koo lina Ana kikohozi kikavu ni nini tatizo wadau
ReplyDeleteMwenyewe nimetokewa na hyo hali, lakin mim nlitumia kwa pamoja na tangawizi ,,ukipata suruhisho ,tushirikishane
DeleteAsnte kwa kupata elimu
ReplyDeleteje mjamzito anaruhusiwa kutumia kitunguu swaumu kujibu uti au fan gas?
ReplyDelete0754543195 nahitaji mawasiriano ya doctor
ReplyDeleteNa tatizo la sukari kushuka.
ReplyDeleteIla nilivosoma hii nakala nilijarbu kutumia kitunguu swaumu Kama punje nane.
Nilivipondaponda Kisha nikavimeza kwa maji ya uvuguuvugu Kama vijiko vitatu vya sukari.
Baada ya kumeza tuuh nikasikia kichwa kinagonga ikabidi nijilaze chali. Lakini baada ya dk 10 hivi nikajisikia mwili kulegea nakuishiwa nguvu vikiambatana na njaa Kali wakati nilikua tayari nishakula Kama nusu saa kabla ya kunywa vitunguu swaumu..
Yani nilijihisi kufakufa hivi duuh.
Sasa doctor tatizo Ni Nini hapo.. msaada tafadharu
Umezidisha dozi
DeleteMbon mm nimetumia Leo tu punje 5 mguu unanium wa kulia vinahusiana?
Deletenina shida na namba yko dr nitaipataje 0655548002
ReplyDeleteUnafaha utumie kitungu saumuu na nini ili usaitike upande wa nguvu za kiume ma waitha ??
ReplyDeleteNikisaga kitunguu saumu na kuweka kwenye kovu LA muda mrefu, vovu litaisha?
ReplyDeleteSamahan je kitunguu swaumu unatumia kwa kula tu au kupaka usoni kma una chunus na madowa
DeleteKwa kula
DeleteAhsante kwa Elim nzuri na ufafanuzi wako juu ya dawa hii na jinsi ya kutmia barikiwa sana
ReplyDeleteAhsante kwa Elim nzuri na ufafanuzi wako juu ya dawa hii na jinsi ya kutmia barikiwa sana
ReplyDeleteJe kitunguu hiki baada yakukikatakata vipande vdogo na ukinywa na maji bila kuvitafuna,je inatibu au inakua haijafanya kaz??
ReplyDeleteKwan ni lazima kutafuna je ukimeza hiv hiv kizima kitafanya kaz zake kweli?? Au mpaka utafune
ReplyDeleteTafuna ndg itapendeza zaidi maana ukimeza mmengenyo tumboni unakua mzito
DeleteNi lazima kuvitafuna kwani ukimeza inakuaje
ReplyDeleteNimetumia lakini nakua naumwa kichwa sanaa
ReplyDeleteUkiona hivyo una majini..au umefanyiwa uchawi maana kitunguu swaumu na majini au uchawi ni vitu viwili tofauti
DeleteYeah kinayaondoa
DeleteMimi nazitumia kwa kumeza je zitasaidia
ReplyDeleteDuh nilikuwa nacheki Kama Kuna madhara ya kutumia maana nimestuka baada ya kutumia Sana.
ReplyDeleteJe kitunguu saumu kinaweza saidia kuongeza kimo cha uume?
ReplyDeleteEti kinaonge kimo
DeleteDr. Toa majibu.... Ni sawa kumeza au kutafuna
ReplyDeletekichwa kilikuwaa kinaniumaa Sana nimetafuta punje 3asb na jioni 3 sijasikiaa kichwaa kuniumaa kbsa naninaendelea nacho
ReplyDeleteNaomba kuuliza je ukishatumia kwa muda huo huwezi kuendelea tena? Pia kwa mimi ninayetumia asbh kabla ya kunywa Chai Kuna madhara gani? Asante Sana
ReplyDeleteDoctor kwa mama anayenyonyesha hakina madhara?
ReplyDeleteNahitaji kujua maana mimi natumia maziwa ya mtoto yanakata
DeleteMm nimetafuna kitunguu thom kifua kimeniwaka moto baada siku mbii kutumia kifua kimeanza kubana na nimepata shida ya kupumua na nilipokiacha na kunywa maji ya zatar nimeanza kitoa hewa kwa mdomoni (mbweu) je nauliza kitunguu Thom kinatia gas ?
ReplyDeleteVitunguu swaumu ni tiba bora kabisa ya asili kwa magonjwa mengi sugu ambayo leo yanasumbua watu wengi. Nathibitisha vimekuwa suluhisho kwangu kwa presha ya kupanda na nguvu za kiume.
ReplyDeleteUlitumiaje naomba kuuliza na ni kwa muda gani
DeleteNina mafia malari sana almost mwaka sasa hayaishi na sawa za mafuta zimegoma sijui vitanisaidia
ReplyDeleteMafua makali
DeleteNatumia kwa kukitafuna rakin nikimaliza kinanisababishia kuanzia kifuani hadi tumbon kuwaka moto
ReplyDeleteÚnavidónda vya tumbo acha kutafuna
DeleteNilikua na dalili za hemoroid au bawasir lkn Kwa kutumia kitunguu swaum haikuweza kuendelea tena
ReplyDeleteUlifanyaje kwa kumeza na maji au kutafuna au vyovyte??
DeleteNaomba kuuliza ni sahihi kuponda kitunguu saumi usiku punje 3 na kisha kuziweza kwenye glass ya maji robo mpaka asububi na ndipo unywe kabla hujala kitu chochote? Je nayo kinga ya pressure? Naona ufafanuzi dr. Thanks
ReplyDeleteEt kinaweza kutibu ovarian cyst?
ReplyDeleteAsante sana kwa somo lako nimelipenda na huwa napenda kutafuna punje za kitunguu saumu kukichezea chezea mdomon hata nilipolala napenda kiwe mdomon. Lkn tatoka nje kidogo ya mada hii kwa hili: Nina tatizo la kushuka kwa kiwango cha damu mwilini napenda kujua tatizo ni nini na suluhisho ni nini
ReplyDeleteNimetua nahisi kuchoka sana mwili inaweza kuwa sababu?
ReplyDeleteMimi nilikuwa natokwa uchafu ukeni pia nawashwa nikachukua punje tatu nikaponda nikaweka kwenye kitambaa laini nikaingiza ukeni kwandani nimekaa navyo masaa matatu nikatoabnimefanya ivo siku tatu je nilikuwa sahii kuingiza ukeni
ReplyDeleteUmepona dear nipe feedback na mm nifanye hivyo
DeleteMimi nilikuwa na miwasho nikifanya ivo na miwasho ukaisha
DeleteAhsante saana kwa ushauri wako doctor kitunguu swaumu ni lazima ukisage na lazima kipondwe ili kikiingia tumboni kiianze moja kwa moja kutibu nimeona matokeo Dr. Mm ni dereva sina mda wa kufanya mazoezi lakini nipo fit saana kimwili na kiakili kwa sababu yote ya hii kitunguu Swaumu yaaan ndio Chakula changu kila siku lazima nisage punje 10 tuu nakuwa Good kila siku. 🙏
ReplyDeleteSamahan naomba kuulza je mama anaenyonyesha anàruhusiwa kutumia kitunguu swaum
DeleteSwali.kwa mgonjwa wa presha unatumia kitunguu saumu kwamudagani?inasemekana ukitumia kwa muda mrefu husababisha kansa ya utumbo.je kunaukweli kuhusu Hilo?0782355089
ReplyDeleteHakuna gurup humu
ReplyDeleteNimeanza kukitumia
ReplyDeleteAsante sana nimeanza kutumia ila mimi nilikuwa nameza asubuhi tu
ReplyDeleteJe kitunguu swahum kinatibu PID?
ReplyDeleteNdioo
DeleteShukran sana
ReplyDeletemi nmetumia mwil unakua na nguvu vizur sana
ReplyDeleteNimeweka kwenye nibu nikaharisha saba je kunatatizo
DeleteNashukuru kwa ushauri maana mm mwenyewe kwa wiki natafuna punje mbli au moja
ReplyDeleteKuna madhara
Somo zuri na limeeleweka ahsante mtayarishaji
ReplyDeleteJinsi ya kutumia kutibu fangasi ukeni
ReplyDeleteMimi hua navimenya afu nameza wakati wa kulala dalili za madonda ya tumbo zimeisha
ReplyDeleteNauliza,mcharuko wa mwili maana yake Nini
DeleteMimi nlitumia lakini nikaanzwa kuumwa na tumbo sai niko na miezi mitatu lauma tu nisaidie nifanyeje
ReplyDeleteKichwa kimenisumbua sana lakini nilivyomeza tu kitunguu swaumu jioni kikaacha hadi Sasa nipo vizur
ReplyDeleteDoctor Mimi nakuliza hivi kabisa nikikula punje sita kwA siku nitapunguza uzito kwA sababu Niko na 95 kilo
ReplyDeleteKwa siku nitumieje naomba nielekeze
ReplyDeleteSomo zuri, kitunguu swaumu kina madhara yoyote??
ReplyDeleteDr Mimi ninapotumia kitunguu saumu mwili wangu unaishiwa nguvu na ninakua kama mgonjwa, je Hilo ni tatizo?
ReplyDeleteMe naomba unielekeze namna ya kutumia kurudisha nguvu za kiume 0764362837
ReplyDeleteMimi nimetumia ,baadae najisikia kichefuchefu,kizunguzungu ,tumbo kuunguluma ,mwili kukosa nguvu kwa dakika kadhaà tu baadae nakuwa sawa
ReplyDeleteNimejifunza kitu,
ReplyDeleteNi kwel vitunguu saumu hutibu fangas Za uken? Na Kama n kwel naomba unielekeze namna ya kutumia
ReplyDeleteIpo vizur sanaaa
ReplyDeleteMbona mm natumia tumbo laju linauma sn badae lachin linafta Sasa sijui ninatatizo
ReplyDeleteSomo zur sn
ReplyDeleteMimi baada ya kutumia nikipata choo kigumu mpakupelekea kuchanika sehem za hajakubwa je hapo hakunamadhara?
ReplyDeleteVitunguu saumu vinaweza saidia kupata mimba
ReplyDeleteJaman dr naomba kuuliza kwamba kuwekea kwenye mboga Napo inasaidia tofaut nakutafuna
ReplyDeleteJe naweka kutangwa na kupachika kitungu saumu ukeni
ReplyDeleteNitaanza kutumia kitunguu swaumu je kitanipa mabadiliko doctor
ReplyDeleteUshauri mzuri sana
ReplyDeletevp kuhusu arufu mbaya mdomoni inayosababishwa na kitunguu swaum je ni arufu kali sana?
ReplyDeleteNilikuwa naumwa na kipanda uso kitunguu kilinisaidia lakini kipanda uso kimeludia tena baada ya miaka 2 nimetumia akija nisaidia tena
ReplyDeleteMm nikitumia vitunguu swaumu mapigo ya moyo hunienda kasi sana kiasi kwamba nashindwa hata kupumua ,kiufupi napata shida. Je shida itakua ni nini?
ReplyDeleteUtakuwa una presha ya kushuka
DeleteNimetumia kitunguu swaumu kama dawa ya kutibu fangasi ,,sai ni miezi mitatu nimeendesha sijui nitumie dawa gani
ReplyDeleteNinapotumia hupatwa na Homa kali hadi Kuna kichwa inauma sana,
ReplyDeleteᴀɪsᴇ ᴍɪ ɴᴀᴛᴀᴛɪᴢᴏ ɴᴀᴠᴏғᴀɴʏᴀ ᴍᴀᴘᴇɴᴢɪ ᴛᴜ ɴᴋɪᴍᴡᴀɢᴀ ᴛᴜ ɪɴᴀʟᴀʟᴀ ʜᴀɪᴛᴀᴋɪ ᴛᴇɴᴀ ᴛᴀᴛɪᴢᴏ ɴɪ ɴɪɴ
ReplyDeleteaisee
DeleteDoctor Mi Ñiña Matatizo Mengi Naomba Ukipata Ujumbe Huu Ñaomba Msaada Wako Tafadhali Namba Yangu Ya Whatsapp Ni 0744644380
ReplyDeleteEe mungu wangu, mm natumia punje zaidi ya 20 ishirini asubuhi mchana na jion kabula ya kula, navitwanga vinarainika hafu nameza vyote kwa jumla kama tonge la ugali bila kutafuna maumivu ninayo yasikia ni Yakama dakika 20 tu, baada ya hapo sisikii chochote, siharishi Wala sioni mabadiliko yoyote, ya kuniadhili lengi kuu ni kuteketeza minyoo aina yote,hii siku ya tatu sasa Toka nianze..
ReplyDeletePengine naweza kupatwa na madhara zaidi bila mm kujua au hii imekaeje😢
Je kinatibu vidonda vya tumbo au typhoid
ReplyDeleteMimi nimetumia kitungu swaum kwa kumeza bila kutafuna doctor takribani 1week.. ila napata kizunguzungu mwenzio yaani mwil unakosa nguvu najisikia hovyo shida itakua nn?
ReplyDeleteMimi nimetumia kitunguu saumu kila siku punje 3 kila siku kwa mwezi mmoja maana nilikuwa sipati siku zangu na nikipata ni kidogo sana na pia nilikuwa najiskia kichefuchefu na maziwa kuuma kama mama mjazito na Mumbai nimepima sina lakini sasa nimeona period ila inatoka nyingi sana namabonge kama nimetoa Mumbai shida itakuwa nn?
ReplyDelete